Niliumia sana moyo nilipomkosa Elizabeth Michael’- Bahati
Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV staa huyo aliyaongea haya…>>>Unajua nilitamani sana kufanya na Lulu basi nikaja mpaka Dar es Salaam tukakubaliana kila kitu lakini mwisho wa siku sikupata hiyo nafasi akutokea kabisa katika video yangu Lulu’- Bahati
Mwisho baadae ikafanywa na Jokate ilikuwa ni video ya wimbo wangu uitwao Maria, ila iliniuma sana kwani nililipa hoteli najua ni miangaiko ya muziki lakini nilikuwa na tafuta njia ili watu wajue uwezo wangu’- Bahati
Comments
Post a Comment