Hali ya Roma sio Nzuri, anamikwaruzo Mwili mzima
Hali ya Afya ya Mwanamziki Roma Mkatoliki haiko mujatabu kutokana na kuonekana kuwa amechoka na majeraha kwenye mwili wake .
Taarifa hizo zimetolewa jioni hii na wakili wake Jebra Kambore ambaye
ameleeza kuwa walitaka kujua maendeleo ya mteja wao na kuonekana kuwa
sio mzuri. Habari kutoka Muungwana.co.tz
Comments
Post a Comment