Hii ndio TOP 20 ya nchi zenye Mabilionea wengi zaidi duniani
Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552. Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.
Comments
Post a Comment