Skip to main content

Aina 5 Ya Matunda Yanayoweza Kukupatia Muonekano Mzuri Wa Ngozi Ya Mwili Wako

Baadhi ya watu wamekuwa wanachukulia  kirahisi ulaji wa matunda, lakini unapaswa kujua kwamba matunda ni muhimu kwa afya zetu kwani yanatukinga na magonjwa mbali mbali na pia hutengeneza muonekano mzuri wa ngozi ya miili yetu.

Kunakila sababu za kukubali kuwa matunda ni muhimu sana kwa afya zetu kwa sababu huongeza vitamin kibao; zifuatazo ni sababu zinazokufanya ule matunda kila siku:

 AVOCADO: Tunda hili limekuwa maarufu sana kwa kutengenezewa juice, lakini huenda watu wakawa hawalipendi kwasababu ya kutokuwa na sukari katika radha yake. Tunda hili linavitamini kibao, ambapo pia huongeza mafuta mwilini, kwa wale walitumialo mara kwa mara.Unashauriwa kula au kunywa juice ya avocado wakati wowote endapo kama huna matatizo yoyote yanayohusiana na kuzidi kwa mafuta mwilini.Pia tunda hili huongeza uzito endapo utalitumia mara kwa mara.

APPLE: Hili ni tunda maarufu sana duniani lihusishwalo na wapendanao, lakini tunda hili pamoja na kupewa umaarufu mkubwa duniani na kuwa na vitamini na madini kibao, pia lina kazi kubwa sana katika kukupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwili wako.Tunda hili husaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kuhifadhi ngozi isipoteze uhalisia wake.

NDIZI: Hili pia ni tunda lenyejina kubwa kwa watu wengi wanaojali ulaji wa matunda, kwani nitamu na lenye ladha safi.Tunda hili husaidia kulainisha ngozi ya uso iliyokauka, kwa mfano utakuta kuna baadhi ya mafuta au losheni zimecholwa ndizi.Kula ndizi ili urekebishe ngozi ya uso wako pamoja na kuupa uwezo mzuri wa  ukumeng'enya chakula.

PAPAI: Ni tunda sahihi kabisa katika kukupa ngozi yenye mafuta, kurudishia au kuziba sehemu zilizoumia na kunyofoka katika ngozi yako. Papai  pia hunga'arisha rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana papai ambayo huitwa papain. Endapo kama unataka kutumia papai katika ngozi yako ya uso, basi chukua asali changanya na papai lililo iva na paka usoni kwako kwa dakika 10 kisha safisha, kisha utaona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana kama ngozi ya mtoto wa siku mbili.

CHUNGWA: Hili ni chungwa maarufu sana linalosaidia kurudishia ngozi iliyodhurika na kuupa uhalisia wa ngozi yako. Jinsi ya kutumia ni rahisi sana, chukua juisi ya chungwa ya baridi kisha paka usoni, acha kwa dakika 10 kisha osha utaona matokeo yake.

Baadhi ya watu wamekuwa wanachukulia  kirahisi ulaji wa matunda, lakini unapaswa kujua kwamba matunda ni muhimu kwa afya zetu kwani yanatukinga na magonjwa mbali mbali na pia hutengeneza muonekano mzuri wa ngozi ya miili yetu.

Kunakila sababu za kukubali kuwa matunda ni muhimu sana kwa afya zetu kwa sababu huongeza vitamin kibao; zifuatazo ni sababu zinazokufanya ule matunda kila siku:

 AVOCADO: Tunda hili limekuwa maarufu sana kwa kutengenezewa juice, lakini huenda watu wakawa hawalipendi kwasababu ya kutokuwa na sukari katika radha yake. Tunda hili linavitamini kibao, ambapo pia huongeza mafuta mwilini, kwa wale walitumialo mara kwa mara.Unashauriwa kula au kunywa juice ya avocado wakati wowote endapo kama huna matatizo yoyote yanayohusiana na kuzidi kwa mafuta mwilini.Pia tunda hili huongeza uzito endapo utalitumia mara kwa mara.

APPLE: Hili ni tunda maarufu sana duniani lihusishwalo na wapendanao, lakini tunda hili pamoja na kupewa umaarufu mkubwa duniani na kuwa na vitamini na madini kibao, pia lina kazi kubwa sana katika kukupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwili wako.Tunda hili husaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kuhifadhi ngozi isipoteze uhalisia wake.

NDIZI: Hili pia ni tunda lenyejina kubwa kwa watu wengi wanaojali ulaji wa matunda, kwani nitamu na lenye ladha safi.Tunda hili husaidia kulainisha ngozi ya uso iliyokauka, kwa mfano utakuta kuna baadhi ya mafuta au losheni zimecholwa ndizi.Kula ndizi ili urekebishe ngozi ya uso wako pamoja na kuupa uwezo mzuri wa  ukumeng'enya chakula.

PAPAI: Ni tunda sahihi kabisa katika kukupa ngozi yenye mafuta, kurudishia au kuziba sehemu zilizoumia na kunyofoka katika ngozi yako. Papai  pia hunga'arisha rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana papai ambayo huitwa papain. Endapo kama unataka kutumia papai katika ngozi yako ya uso, basi chukua asali changanya na papai lililo iva na paka usoni kwako kwa dakika 10 kisha safisha, kisha utaona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana kama ngozi ya mtoto wa siku mbili.

CHUNGWA: Hili ni chungwa maarufu sana linalosaidia kurudishia ngozi iliyodhurika na kuupa uhalisia wa ngozi yako. Jinsi ya kutumia ni rahisi sana, chukua juisi ya chungwa ya baridi kisha paka usoni, acha kwa dakika 10 kisha osha utaona matokeo yake. muungwana.co.tz

Comments

Popular posts from this blog

je wajua,zifahamu mbinu mbalimbali za kumpata mwenzi bora

KILA mtu anapenda kuwa na mwenza mzuri, mwenye kumfaa katika maisha yake. Hata hivyo kwa bahati mbaya ni kwamba wengi wanashindwa kupata wenza wazuri. Ziko sababu nyingi lakini kubwa ni uwezo wa mtu wa kumtambua mwingine na kujua kama ni kweli anafaa au anafaa  kuendana nae au la.Wakati wa uchumba, wengi wa watu huonekana kutumiana kadi, zawadi na mambo mengine  mbalimbali yenye lengo la kuonyesha wanapendana. Aidha, wapo ambao wanashindwa kujua namna ya kutongoza; kwa ujumla kutongoza ni uwezo wa ushawishi kwamba unamwambia mwanamke unamuhitaji na kumpenda awe wako au wakati mwingine hata mwanamke anaweza kuanza. Ndio ukweli wenyewe Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza. Kuna wengine hata kumsimamisha mwanamke hawezi au anaogopa. Ndio unaweza kukuta mwanamume anajikanyaga namna ya kuongea. Wapo wengine wanafikiri njia sahihi ya kutongoza ni kuhonga aidha fedha au mali nk, lakini sicho hasa wanachotaka wanawake au wanaume katika mapenzi. Maneno ya ku...

Aliyoyajibu Lulu Diva baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na Madee

Aliyoyajibu Lulu Diva baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na Madee April 6, 2017 kupitia U heard ya XXL ya Clouds FM staa wa Bongo Fleva Lulu Diva ameweka wazi uhusiano wake na staa mwingine wa Bongo Fleva kutoka Tip Top Connection,   Madee baada ya kuonekana mara kwa mara wakiwa pamoja. Soudy Brown aliwatafuta Madee na Lulu Diva kufahamu ukweli ambapo Madee hakupatikana kwenye simu, lakini Lulu Diva alikuwa na haya ya kujibu alipoulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na Madee . ..>>> “Madee ni kaka yangu na nimshauri wangu halafu pia kuna wimbo wake amenishirikisha, Soudy na wewe umezidi umbea, T-shirt akivaa Madee sisi wengine hatuwezi kununua? T-shirt tumenunua sare, tumenunua siku moja.”  – Lulu Diva.

Zawadi Katika Mahusiano Ya Kimapenzi

Hii Ndiyo Tafsiri sahihi Ya Zawadi Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Moja ya kitu ambacho huwa hakina kipaumbele sana katika mahusiano ya kimapenzi,  kitu ambacho kinachoitwa zawadi. Lakini ukweli ni kwamba zawadi ina maana kubwa sana katika mahusiano ya kimapenzi zaidi hata udhaniavyo. Na Katika tafiti ambazo zimewahi fanywa ni kwamba, suala zima la utoaji zawadi katika mahusiano ya kimapenzi lilimekuwa likileta hisia zaidi katika upande mmoja. Yaani hapa nikiwa na maana ya kwamba jinsia ya kike ndiyo ambayo ipo katika kusubiri zawadi kutoka kwa jinsia ya kiume. Kutoka na suala hilo ndo maana watu wengi wamekuwa hawatilii maanani suala zima la zawadi. Lakini ukweli ni kwamba kila mtu anahusika kutoa zawadi. Huenda ukawa bado nakuacha njia panda huelewi ni zawadi gani ambayo itampendeza mpenzi wako. Wala usipate tabu afisa Mipango nipo kwa ajili yako. Ipo hivi ili kujua zawadi ambayo mwezi wako anapendezwa nayo,  Unachotakiwa kukifanya ni kwamba kwa kuwa ni mpen...