Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2017

Zitto:NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda

Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda Wednesday, March 29, 2017 Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda. Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo NECTA itaweka wazi uhakiki wa vyeti vya Elimu ya Watumishi wa Umma wote tarehe 30 April, 2017

Lady Jaydee kuzindua album

Lady Jaydee kuzindua album ya ‘Woman’ King Solomon Hall, Dar leo Friday, March 31, 2017 Lady Jaydee leo atafanya uzinduzi wa album yake mpya na ya saba, Woman. Ametangaza kubadilisha ukumbi wa awali na sasa utafanyika King Solomon Hall. “Naomba kuwafahamisha mabadiliko ya Venue Ijumaa Woman Album Launch Itafanyika ukumbi wa King Solomon Hall , karibu na Best Bite (Ada Estate- Kinondoni) Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza,” ameandika Jide kwenye Instagram. Album hiyo itakuwa na nyimbo kama Kamoba alioshirikiana na Hamoba wa Zambia, Together Remix akiwa na Spicy, Rosella akiwa na H_Art the Band, Unanichanganya akiwa na Naava wa Uganda na zingine.